1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking Iconਭਰੋਸੇਯੋਗ
1K+ਡਾਊਨਲੋਡ
10MBਆਕਾਰ
Android Version Icon4.1.x+
ਐਂਡਰਾਇਡ ਵਰਜਨ
2.0(26-02-2021)ਤਾਜ਼ਾ ਵਰਜਨ
-
(0 ਸਮੀਖਿਆਵਾਂ)
Age ratingPEGI-3
ਕਿਵੇਂ ਇੰਸਟਾਲ ਕਰੀਏ
1
ਡਾਊਨਲੋਡ ਕਰੋ ਅਤੇ ਇੰਸਟਾਲੇਸ਼ਨ ਫਾਈਲ ਖੋਲ੍ਹੋ
2
Unblock AptoideAptoide is a safe app! Just tap on More details and then on Install anyway.
3
ਇੰਸਟਾਲੇਸ਼ਨ ਨੂੰ ਪੂਰਾ ਕਰੋ ਅਤੇ ਐਪਟਾਇਡ ਖੋਲ੍ਹੋ
app-card-icon
ਵੇਰਵਾਸਮੀਖਿਆਵਾਂਵਰਜਨਜਾਣਕਾਰੀ
1/6

ਦਾ ਵੇਰਵਾ Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - ਵਰਜਨ 2.0

(26-02-2021)
ਹੋਰ ਵਰਜਨ
ਨਵਾਂ ਕੀ ਹੈ?Sehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

ਅਜੇ ਤੱਕ ਕੋਈ ਸਮੀਖਿਆ ਜਾਂ ਰੇਟਿੰਗ ਨਹੀਂ ਹੈ! ਪਾਓਣ ਲਈ ਕਿਰਪਾ ਕਰਕੇ

-
0 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
ਚੰਗੀ ਐਪ ਦੀ ਗਾਰੰਟੀਇਸ ਐਪ ਨੇ ਵਾਇਰਸ, ਮਾਲਵੇਅਰ ਅਤੇ ਹੋਰ ਖਤਰਨਾਕ ਹਮਲੇ ਲਈ ਸੁਰੱਖਿਆ ਟੈਸਟ ਪਾਸ ਕਰ ਲਿਆ ਹੈ ਅਤੇ ਇਸ ਵਿਚ ਕੋਈ ਵੀ ਖਤਰੇ ਸ਼ਾਮਿਲ ਨਹੀਂ ਹਨ|

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - ਏਪੀਕੇ ਜਾਣਕਾਰੀ

ਏਪੀਕੇ ਵਰਜਨ: 2.0ਪੈਕੇਜ: com.gazeti.digitalwebbased
ਐਂਡਰਾਇਡ ਅਨੁਕੂਲਤਾ: 4.1.x+ (Jelly Bean)
ਡਿਵੈਲਪਰ:Tanzania Tech Mediaਪਰਾਈਵੇਟ ਨੀਤੀ:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.htmlਅਧਿਕਾਰ:28
ਨਾਮ: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)ਆਕਾਰ: 10 MBਡਾਊਨਲੋਡ: 68ਵਰਜਨ : 2.0ਰਿਲੀਜ਼ ਤਾਰੀਖ: 2021-02-26 13:33:53ਘੱਟੋ ਘੱਟ ਸਕ੍ਰੀਨ: SMALLਸਮਰਥਿਤ ਸੀਪੀਯੂ:
ਪੈਕੇਜ ਆਈਡੀ: com.gazeti.digitalwebbasedਐਸਐਚਏ1 ਦਸਤਖਤ: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66ਡਿਵੈਲਪਰ (CN): Androidਸੰਗਠਨ (O): Google Inc.ਸਥਾਨਕ (L): Mountain Viewਦੇਸ਼ (C): USਰਾਜ/ਸ਼ਹਿਰ (ST): California

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) ਦਾ ਨਵਾਂ ਵਰਜਨ

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
68 ਡਾਊਨਲੋਡ10 MB ਆਕਾਰ

ਹੋਰ ਵਰਜਨ

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
68 ਡਾਊਨਲੋਡ8.5 MB ਆਕਾਰ
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
68 ਡਾਊਨਲੋਡ8.5 MB ਆਕਾਰ
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
68 ਡਾਊਨਲੋਡ7.5 MB ਆਕਾਰ

ਇੱਕੋ ਸ਼੍ਰੇਣੀ ਵਾਲਿਆਂ ਐਪਾਂ

ਤੁਹਾਨੂੰ ਇਹ ਵੀ ਪਸੰਦ ਹੋ ਸਕਦਾ ਹੈ...